Jana Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilitoa ratiba ya michezo ya robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) ambapo vinara wa ligi kuu ya NBC Yanga watakuwa nyumbani uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Geita Gold
Mtanange huo wa kukata na shoka utapigwa Jumapili, April 10

ADVERTISE HERE