Kesho Jumatano, Machi 30 Yanga itashuka uwanja wa Azam Complex, Chamazi kuikabili Mafunzo Fc katika mchezo wa kirafiki ambao ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa April 06
Tiketi kuelekea mchezo huo tayari zimeanza kuuzwa ambapo viingilio VIP ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Unaweza kujipatia tiketi kupitia vituo hivi;

ADVERTISE HERE