Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Sudan katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki ambao uko kwenye kalenda ya FIFA
Kiungo Zawadi Mauya leo amepewa nafasi ya kuanza katika eneo la kiungo wakati Bakari Nondo Mwamnyeto na Dickson Job wameendeleza pacha yao katika safu ya ulinzi
Kikosi kinachoanza;

ADVERTISE HERE