Pichani juu, Afisa habari wa Yanga Dismas Ten, Katibu Mkuu, Charles Mkwasa na Mwenyekiti wa kamati ya Usajili/Mashindano Husein Nyika wakiwa nyuso za furaha uwanja wa Chamazi leo.
Viongozi hao pamoja na benchi la Ufundi wanastahili pongezi kwa uvumilivu wao, maana wamekuwa wakioga matusi ya kila aina kutoka kwa mashabiki wasio wavumilivu!
Lakini leo, pamoja na wachezaji wa Yanga, wamezijaza furaha nyuso za WanaYanga baada ya kupata ushindi muhimu wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC.

ADVERTISE HERE