Mwananchi hakikisha unamiliki kadi hii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Apr 2022
Mwananchi hakikisha unamiliki kadi hii

Ukiwa Mwanachama wa Yanga moja kwa moja unakuwa mmoja wa wanahisa wa klabu

Utakuwa miongoni mwa Mwanachama ambao kwenye mfumo wataimiliki Yanga kwa asilimia 51

Lakini nje ya hapo, kadi hii ya uanachama wa Yanga itakurahisishia pale unapotaka kwenda uwanjani kushuhudia mechi na hata kufanya manunuzi mbalimbali ya kimtandao

Utaweza kununua tiketi kupitia kadi hii, huo ndio utofauti mkubwa kati ya kadi hizi za Yanga na zile zao

Kama bado hujajiandikisha kuwa Mwanachama, fanya hivyo wakati ni sasa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’