Mshambuliaji Yacouba Songne ameendelea kuimarika ni suala la muda tu Wananchi watamshuhudia tena uwanjani akiendelea na majukumu yake
Yacouba ameanza mazoezi mepesi ambayo yatamuweka sawa kabla ya kurejea kikosini kikamilifu
Amekuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi mitano tangu alipoumia katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting mwezi Novemba 2021
ADVERTISE HERE