Fiston Mayele, mabao 11 kibindoni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Apr 2022
Fiston Mayele, mabao 11 kibindoni

Fiston Mayele jana 'alitetema' kwa mara ya 11 msimu huu sasa akikaa juu peke yake katika mbio za kuwania ufungaji bora

Reliant Lusajo wa Namungo Fc amebaki na mabao yake 10 wakati George Mpole akiwa na mabao tisa

Mayele amedhihirisha kuwa ni mshambuliaji bora katika ligi kuu ya NBC, kwa idadi ya mabao aliyofunga na nafasi za mabao alizotengeneza (3)

Jumla amehusika katika mabao 14 yaliyofungwa na Yanga kwenye ligi mpaka sasa

Kwa hakika kiatu cha dhahabu 'kitamuhusu' mwishoni mwa msimu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’