Matawi yakumbushwa kukamilisha uchaguzi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Apr 2022
Matawi yakumbushwa kukamilisha uchaguzi

Mkurugenzi wa Sheria na Wanachama klabu ya Yanga Simon Patrick ameyakumbusha Matawi yaliyokidhi vigezo kufanya uchaguzi wa kuwapata viongozi wao kuelekea Mkutano Mkuu wa Wanachama ambao utafanyika mwezi Juni 2022

Katika Mkutano huo Uchaguzi Mkuu wa kuwapata viongozi wa Yanga utafanyika