Kesho Jumapili Wananchi wana jambo lao pale uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Geita Gold
Mchezo unatarajiwa kupigwa kuanzia saa moja kamili usiku
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE