Ilikuwa mechi ngumu - Kaze

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Apr 2022
Ilikuwa mechi ngumu - Kaze

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amewapongeza wachezaji kwa kufanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya kombe la FA baada ya ushindi wa mikwaju ya penati 7-6 dhidi ya Geita Gold

Ni baada ya dakika 90 za mchezo wa robo fainali kumalizika matokeo ya sare ya bao 1-1

Kaze amesema Geita Gold ni moja ya timu bora msimu huu hivyo walifahamu mchezo ungekuwa mgumu

"Nawapongeza Geita Gold walikuwa na nidhamu katika kujilinda na waliweza kutufunga kupitia shambulizi la kushitukiza. Tumecheza mechi siku tatu zilizopita hivyo tulitarajiwa wachezaji wetu bado watakuwa na uchovu leo"

"Ari na kutokata tamaa hata tulipofungwa mchezo ukielekea mwishoni tuliweza kusawazisha na bahati imekuwa upande wetu kupata ushindi huo," alisema Kaze

Kwa hakika haukuwa mchezo mwepesi, lakini muhimu zaidi ni kuwa Wananchi wamefanikisha malengo ya kutinga nusu fainali

Sasa wanamsubiri mshindi wa mchezo wa robo fainali kati ya Simba dhidi ya Pamba Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’