Feisal, Yacouba wanaimarika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Apr 2022
Feisal, Yacouba wanaimarika

Wachezaji Feisal Salum na Yacouba Songne wanaendelea na program za mazoezi ya Gym kabla ya kuanza mazoezi ya uwanjani

Feisal amekosekana kwa wiki kadhaa baada ya kupata majeraha wakati akiitumikia timu ya Taifa ya Tanzania wakati Yacouba amekuwa nje ya uwanja tangu mwezi Novemba 2021 akipata majeraha katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting

Kuna uwezekano mkubwa wachezaji wote watakuwa tayari kuhusika katika mchezo dhidi ya Simba April 30

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’