Vinara 10 wa mabao baada ya mzunguuko wa kwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jan 2018
Vinara 10 wa mabao baada ya mzunguuko wa kwanza
Emanuel Okwi wa Simba anaongoza mbio za kuwania kiatu cha dhahabu akiwa amepachika mabao 12.

Obrey Chirwa wa Yanga ana mabao saba yuko nafasi ya pili sambamba na John Bocco (simba), Mohammed Rashidi (Prisons) na Habibu Kiyombo wa Mbao FC.

Wenye mabao sita ni Shiza Kichuya wa Simba na Asante Kwasi wa Simba pia. Hata hivyo Kwasi amabao yake matano aliyapachika wakati akiwa Lipuli FC.

Ibrahim Ajib wa Yanga na Marcel Kaheza wa Majimaji wana mabao matano kila mmoja.

Wakati Paul Nonga wa Mwadui FC na Eliud AMbokile wa Mbeya City wanakamilisha orodha ya vinara 10 wakiwa wamefunga mabao manne kila mmoja.

Msimu uliopita aliyekuwa winga wa Yanga Saimon Msuva na Abdulrahmani Mussa wa Ruvu Shooting walifungana kwa kufunga mabao 14.

Msimu huu huenda kinara wa mabao akaweza kufunga zaidi ya mabao yaliyofungwa na washindi wa msimu uliopita.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’