GSM Foundation leo imejumuika pamoja na Wadau wa Soka Nchini katika Iftari maalum iliyohudhuriwa na waalikwa kutoka BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA ( BMT ), TFF, BODI YA LIGI ( TPLB ), Wawakilishi wa vilabu, Waandishi wa Habari na wachambuzi na wadau mbalimbali wa soka nchini.
Iftar Hii maalum imedhamiria kuleta Umoja wa tasnia ya soka nchini pamoja na kusisitiza upendo katika michezo nchini







ADVERTISE HERE