Project ya ubingwa inaanza leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Apr 2022
Project ya ubingwa inaanza leo

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amewataka mashabiki wa timu hiyo wajitokeze kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa leo katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc

Bumbuli amesema leo wanaanza mpango mkakati wa kushinda mechi sita zinazofuata ili kujihakikishia kutwaa ubingwa msimu huu

Bumbuli amebainisha kuwa mpango mkakati huu unahitaji kuungwa mkono na kila shabiki kwenda uwanjani kuwapa hamasa wachezaji

"Tumeweka mpango mkakati wa kushinda mechi sita zinazofuata ili tujihakikishie kutwaa ubingwa. Baada ya hapo tutakuwa tukisubiri tarehe ambayo Bodi ya Ligi watapanga ili tuweze kukabidhiwa ubingwa wetu"

"Mechi zitakazokuwa zimebaki tena tutazitumia kuwapa burudani mashabiki wetu. Mpango mkakati huu inapaswa uungwe mkono na mashabiki wetu kwa kujitokeza kwa wingi uwanjani kuanzia mchezo wa kesho (leo) dhidi ya Namungo Fc," alisema Bumbuli

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’