Klabu ya Singida United, imesema haina mpango wa kuwasajili wachezaji watatu kutoka Yanga kama inavyodaiwa.
Singida United iliyopanda Ligi Kuu msimu uliopita inahusishwa na kutaka kuwasajili makipa wawili wa Yanga, Deogratius Munishi 'Dida’ na Ally Mustapha ‘Barthez’ pamoja na beki Oscar Joshua.
Kulingana na mtandao wa MWANASPOTI, Katibu mkuu wa Singida United, Abuurahman Sima amekana taarifa hizo kwa kusema timu hiyo haina mpango na wachezaji hao.
“Hizo ni tetesi tu ambazo ni wakati wake ila kwenye uongozi wetu bado hakuna taarifa za timu yetu kumtaka huyo beki (Joshua) wala kipa yeyote kutoka Yanga kwa wakati huu,†alisema Sima.

ADVERTISE HERE