FT : Simba Queens 0-1 Yanga Princess

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Apr 2022
FT : Simba Queens 0-1 Yanga Princess

Yanga Princess leo imefuta uteja dhidi ya Simba Queens baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite'

Bao la Clara Luvanga lilitosha kuihakikishia Yanga Princess ushindi muhimu ambao unaifanya Yanga Princess wapate ushindi wao wa kwanza katika michezo nane waliyocheza dhidi ya Simba Queens

Ulikuwa ushindi muhimu kwa kocha Edna Lema, ushindi ambao unaweza kuirejesha Yanga Princess kwenye mbio za ubingwa licha ya kuwa bado wako nyuma kwa alama saba dhidi ya Simba Queens

Ushindi huu ni mwanzo tu wa ushindi mkubwa April 30!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
20h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’