Wananchi wameamka salama Avic Town wakiendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa April 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Yanga imedhamiria kutwaa ubingwa mapema, hivyo ni mchezo ambao Wananchi wanazihitaji alama zote tatu
Ile project ya ubingwa inaendelea, sasa imebaki michezo mitano!
Sasa itakuwaje? hili si walisema ni kombe la mbuzi? Nao watacheza au watajitoa? Ama kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto...!
ADVERTISE HERE