Mimi ni Mwananchi bado nipo sana - Yacouba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Apr 2022
Mimi ni Mwananchi bado nipo sana - Yacouba

Mshambuliaji wa Yanga Yacouba Songne jana aliweka ujumbe kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram akiwashukuru wachezaji wenzake kwa vile wanavyoipigania timu kuhakikisha wanatwaa ubingwa msimu huu

Wapo waliotafsiri ujumbe huo kuwa huenda alikuwa akiwaaga Wananchi mkataba wake ukiwa unaelekea ukingoni mwezi Juni

Hata hivyo Yacouba alilazimika kutoa ufafanuzi na kuwahakikishia mashabiki kuwa yeye bado yupo sana ujumbe aliokuwa ameweka awali ili kwa ajili ya kuwaponeza wachezaji wenzake kutokana na kazi nzuri wanayofanya

"Siondoki ni hongera tu wachezaji kwa kazi zote wanazozifanya naipenda klabu hii na nitakuwepo daima," aliandika Yacouba

Yacouba amerejea mazoezi hivi karibuni baada ya kupona jeraha la upasuaji lililomuweka nje ya uwanjani kwa takribani miezi mitano

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’