Kamati ya uchaguzi ya klabu ya Yanga imetangaza kuongeza muda wa kufanya uchaguzi wa viongozi wa Matawi ambapo sasa zoezi hilo litahitimishwa mwishoni mwa mwezi May 2022 badala ya April iliyokuwa imetangazwa awali
Taarifa iliyotolewa na Yanga mapema leo imetaja sababu ya kuongezwa muda ni kutoa nafasi kwa Matawi ambayo hayakuwa yameanza uchaguzi kukamilisha zoezi hilo
Muda wa kupokea viongozi wa Matawi ambao watakuwa wamechaguliwa ni 31/05/2022

ADVERTISE HERE