Hakikisha umekamata tiketi yako leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Apr 2022
Hakikisha umekamata tiketi yako leo

Mwananchiiiii umeshakata tiketi? kama bado fanya hivyo leo kwani siku ya kesho Jumamosi hakutakuwa na mauzo ya tiketi

Wanasema ubingwa hauwezi kuwa na raha bila ya kumfunga mtani, kesho Yanga imedhamiria kupata ushindi dhidi ya Simba ili kukamilisha msemo huo

Ukiangalia kwa umakini mwenendo kuelekea mchezo huo, ni kama Simba 'wamesusa' kwani hakuna 'promo' yoyote wanayofanya kuwaita mashabiki wao uwanjani

Yawezekana kwa kuwa Yanga ndio wenyeji wa mchezo, wakidhani kwa kutowaambia mashabiki wao waende uwanjani, wataikosesha Yanga mapato

Hii ni nafasi kwa Wananchi kununua tiketi kwa wingi na pengine kuujaza uwanja wa Mkapa peke yao!

Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema wanahitaji kuwa na sio chini ya mashabiki 40,000 wa Yanga katika mchezo huo

Hadi kufikia jana jioni, tketi za VIP A zilikuwa zimemalizika huku zoezi la mauzo ya tiketi likitarajiwa kufungwa leo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’