Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa mageti ya uwanja wa Benjamin Mkapa yatafunguliwa kuanzia saa tano asubuhi kuruhusu mashabiki waingie uwanjani
Mtanange wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba utaunguruma kuanzia saa 11 jioni
TFF imesisitiza kuwa hakutakuwa na mauzo ya tiketi uwanjani hivyo kila shabiki anayekwenda uwanjani ahakikishe ana tiketi
Bado unaweza kujipatia tiketi asubuhi hii dhumuni la Yanga ni kuona robo tatu ya mashabiki uwanjani ni Wananchi

ADVERTISE HERE