Ni muda mwafaka vinara wa ligi kuu ya NBC Yanga kushuka uwanja wa Benjamin Mkapa kusaka alama tatu muhimu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba
Ni mchezo ambao Yanga wanazihitaji alama zote tatu, Nasreddine Nabi, kocha mkuu wa Yanga ameanza na kikosi hiki;
1. Djigui Diarra
2. Djuma Shabani
3. Kibwana Shomari
4. Dickson Job
5. Bakari Nondo Mwamnyeto
6. Yannick Bangala
7. Jesus Moloko
8. Khalid Aucho
9. Fiston Mayele
10. Feisal Salum
11. Saido Ntibazonkiza
SUB
Aboutwalib Mshery
Yassin Mustafa
Ibrahim Bacca
Zawadi Mauya
Salum Abubakar
Chrispine Ngushi
Heritier Makambo
Denis Nkane
Farid Mussa
ADVERTISE HERE