Kazi nzuri Kibwana Shomari

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Apr 2022
Kazi nzuri Kibwana Shomari

Kwa mara nyingine Kibwana Shomari ameonyesha kiwango kikubwa katika mchezo wa dabi dhidi ya Simba uliomalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Leo upande wake ulikuwa wa moto kwelikweli kwa mawinga wa Simba wakiukimbia

Kama ulivyokuwa mchezo wa duru ya kwanza, leo Kibwana aliweza kuwadhibiti wachezaji watatu Morrison, Sakho na Kibu Denis

Kibwana ameendelea kuonyesha ukomavu wa hali ya juu hasa katika michezo mikubwa

Katika umri wa miaka 21 tu, Kibwana amecheza dabi ya sita na kuonyesha uwezo mkubwa katika michezo yote

Ni rahisi kabisa kusema katika upande wa Yanga, Kibwana leo anastahili kuwa nyota wa mchezo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’