Wananchi mmeitendea haki Dabi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 May 2022
Wananchi mmeitendea haki Dabi

Jana wakosoaji walikosa la kusema baada ya mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa kuishangilia timu yao kwenye mchezo dhidi ya Simba uliomalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Kumekuwa na dhana inayojengwa kuwa Simba ndio klabu yenye mashabiki wengi na wao ndio wenye uwezo wa kujaza uwanja wa Benjamin Mkapa

Lakini jana hali ilionekana tofauti, mashabiki wa Yanga ndio waliofurika kwa wingi dimba la Mkapa ukilinganisha na wenzao wa Simba

Viongozi wa Simba hawakufanya hamasa kuelekea mchezo huo kwa kudhani mashabiki wao wasipokwenda uwanjani, uwanja hautajaa

Hongera kwa mashabiki waliokwenda uwanjani kuiunga mkono timu yao na zaidi hongera kwa Msemaji Haji Manara na Afisa Habari Hassan Bumbuli kwa hamasa kubwa na kuutangaza mchezo katika vyombo vya habari

Yanga ilifanikisha lengo lake la kuwa na mashabiki wengi zaidi kuliko watani zao Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6m ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
46m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’