Yanga yaifuata Ruvu Shooting Kigoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 May 2022
Yanga yaifuata Ruvu Shooting Kigoma

Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Kigoma wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting

Mchezo huo utapigwa Jumatano, May 03 katika uwanja wa Lake Tanganyika

Wananchi wameelekea Kigoma wakiwa na lengo moja tu, kusaka alama tatu muhimu zitakazowasogeza karibu zaidi ya ubingwa msimu huu

Yanga wako kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa na alama 55 baada ya kushuka dimbani mara 21, alama 13 zaidi ya Simba inayoshika nafasi ya pili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’