Yanga yapigwa faini Tsh Mil 3

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 May 2022
Yanga yapigwa faini Tsh Mil 3

Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi imeipa Yanga onyo kali na kuitoza faini ya Tsh 2,000,000 kwa kosa la kuingia uwanjani kwa kutumia mlango usio rasmi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc uliopigwa uwanja wa Azam Complex na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-1

Yanga pia imetozwa faini ya Tsh 1,000,000 kwa kosa la mashabiki wake kumrushia chupa mwamuzi msaidizi wa mchezo huo uliopigwa April 06 jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’