Shughuli zilisimama kwa saa kadhaa mkoani Kigoma kupisha mapokezi ya vinara wa ligi kuu ya NBC, Yanga
Yanga iko mkoani Kigoma kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting ambao utapigwa Jumatano katika uwanja wa Lake Tanganyika





ADVERTISE HERE