Baada ya kutua mkoani Kigoma mapema leo, kikosi cha Yanga kimeanza maandalizi ya mchezo dhidi ya Ruvu Shooting ambao utapigwa Jumatano, May 04 katika uwanja wa Lake Tanganyika
Nyuso za furaha za wachezaji zinadhihirisha wako tayari kuwania alama tatu siku ya Jumatano









ADVERTISE HERE