Yanga kujaribu kikosi cha ligi ya mabingwa dhidi ya Lipuli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Jan 2018
Yanga kujaribu kikosi cha ligi ya mabingwa dhidi ya Lipuli
Baada ya mchezo wake wa mzunguuko wa 16 ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Lipuli FC, kikosi cha Yanga kitakuwa na wiki moja kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa.

Yanga inatarajiwa kuivaa St Louis Suns katika mchezo wa awali, hatua ya mtoano, ligi ya mabingwa barani Afrika.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumamosi ya Februari 10, 2018 kwenye dimba la Taifa.

Hivyo huenda benchi la ufundi likautumia mchezo dhidi ya Lipuli FC kupima kikosi chake kitakachoshuka dimbani kuivaa St Louis.

Timu ya St Louis ndio mabingwa wa soka huko Ushelisheli, wamewahi kushiriki michuano ya vilabu bingwa barani Afrika mara saba na mafanikio makubwa iliyowahi kupata ni kufika raundi ya pili mwaka 2001.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
56m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’