FT : Yanga 0-0 Tanzania Prisons

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 May 2022
FT : Yanga 0-0 Tanzania Prisons

Mchezo wa tatu Yanga inashindwa kupata ushindi leo wakilazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Tanzania Prisons

Kwa takribani dakika 45 za kipindi cha kwanza Yanga ilitawala na kutengeneza nafasi nyingi lakini ikawa vigumu kuutumbukiza mpira kimiani

Ilikuwa ngumu hata kwa mkwaju wa penati uliopigwa na Fiston Mayele kutinga kimiani

Ni siku nyingine Yanga imekosa bahati kushinda mchezi muhimu ambao ungewasogeza karibu na ubingwa

Wananchi bado wanabaki kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa na alama 57, alama 11 mbele ya Simba ambayo ina mchezo wa kiporo dhidi ya Kagera Sugar siku ya Jumatano

Yanga itasafiri mkoani Dodoma kwa ajili ya mchezo unaofuata dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa Jumapili ijayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’