Sio dhambi mtu kurudi nyumbani - Bumbuli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 May 2022
Sio dhambi mtu kurudi nyumbani - Bumbuli

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amedokeza uwezekano wa winga Bernard Morrison kurejea Yanga baada ya kumaliza mkataba na klabu ya Simba

Taarifa za Morrison kuwa mbioni kurejea Yanga zilianza kuvuma wiki iliyopita

Bumbuli amesema haitakuwa dhambi kama Yanga itaamua kumsajili Morrison kama wataona wanamuhitaji

"Kwani aliyemleta Morrison Tanzania ni nani? Kumrudisha kuna dhambi? Mbona kuna watu walimuuza mtu wao Morocco na baadae kuamua kumrudisha wameathirika na nini?," alihoji Bumbuli

Msimu huu Morrison amekuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha Simba akiisaidia timu hiyo kufika robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho

Nje ya matukio yake mengi ya nje ya uwanja, Morrison ni mmoja wa wachezaji ambao wamefanya vizuri kwenye ligi katika miaka miwili iliyopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
55m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’