Mashabiki wa klabu ya Yanga mkoani Dodoma wameaswa kujitokeza uwanja wa Jamhuri kuanzia siku ya leo ili kukamilisha usajili wa kidigitali
Timu ya Kilinet leo itakuwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kuanzia saa 8 mchana, Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 2 asubuhi.
Aidha viongozi wa Matawi nao wamekaribishwa kurudisha Fomu ili kukamilisha Usajili katika mfumo mpya wa Kidigitali

ADVERTISE HERE