Wakati msimu bado haujamalizika, klabu ya Simba imetangaza kumpa mapumziko winga Mghana Bernard Morrison na wakati huohuo wakimtakia kila la kheri katika maisha yake ya soka
Kwa ufupi kabisa ni sawa na kusema wameagana na Morrison ambaye mkataba wake na Simba unamalizika mwishoni mwa mwezi huu
Morrison anahusiswa sana kuwa mbioni kurejea Yanga, wanasema dalili ya mvua ni mawingu.
Hatimaye Mzee wa kukera kawakera wao wenyewe....!
ADVERTISE HERE