Kikosi cha Yana kimeondoka mkoani Dodoma kurejea Dar kuendelea na maandalizi ya mchezo unaofuata ligi kuu ya NBC dhidi ya Mbeya Kwanza
Mchezo huo utapigwa May 21 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Wananchi wameondoka na alama zote tatu mkoani Dodoma, jana wakipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji




ADVERTISE HERE