Kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini leo kuanza maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya Kwanza
Mchezo huo utapigwa Ijumaa, May 20 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi leo amewarudisha vijana wake Gym kuweka miili sawa baada ya mchezo dhidi ya Dodoma Jiji
ADVERTISE HERE