Simba wamelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Azam fc katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi
Ni matokeo ambayo yamerejesha gap la alama 10 kati ya Yanga na Simba huku timu zote zikisalia na michezo sita
Ushindi katika michezo mitatu ijayo, ni matokeo yatakayotosha kuihakikishia Yanga ubingwa msimu huu
Aidha kama Yanga itashinda michezo dhidi ya Mbeya Kwanza na Biashara United na Simba ikapoteza mchezo dhidi ya Geita Gold, Wananchi wanaweza kushangilia ubingwa wiki ijayo!
ADVERTISE HERE