Kuelekea mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2023, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Kim Poulsen amewajumuisha wachezaji saba wa Yanga katika kikosi chake
Mlinda lango Aboutwalib Mshery, walinzi Kibwana Shomari, Dickson Job na Bakari Mwamnyeto
Viungo Feisal Salum, Salum Abubakar na Farid Mussa ni miongoni mwa nyota 28 walioitwa katika kikosi hicho

ADVERTISE HERE