Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi yake kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi May 28 katika uwanja wa CCM Kirumba
Yanga imeweka kambi katika eneo tuliiivu mkoani Shinyanga, ari ya morali ya wachezaji ikiwa juu kuelekea mchezo huo
Wananchi wamedhamiria kutinga fainali ya michuano ya kombe la FA mkakati ukiwa kushinda taji hilo








ADVERTISE HERE