Licha ya Kibwana Shomari kuanza mazoezi na timu ya Taifa, uongozi wa Yanga umetoa taarifa kuwa nyota huyo atahitaji wiki moja ya kufanya mazoezi mepesi kabla ya kurejea uwanjani
Kibwana aliumia kwenye mchezo dhidi ya Simba juzi akigongana na mshambuliaji wa Simba Kibu Denis
Kibwana alipata jeraha kichwani na alilazimika kukimbizwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu zaidi

ADVERTISE HERE