Dk Msolla anastahili kuendelea kuiongoza Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jun 2022
Dk Msolla anastahili kuendelea kuiongoza Yanga

Jambo moja kubwa ambalo Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amelifanya katika uongozi wake ni kufanikisha mchakato wa Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu

Tofauti ya Dk Msolla na wenzake ni dhamira yake ya dhati kufanikisha mabadiliko kwani jambo hilo halikuwezekana licha ya jitihada zilizofanyika katika miaka 20 iliyopita

Walipokuja GSM ikawa rahisi kutekelezwa na leo hii Wananchi wameanza kutembea kifua mbele kutokana na mafanikio ya klabu yao

Hakuna shaka Wanachama watampa kura kwa wingi Dk Msolla kama atachukua fomu kuwania Urais wa klabu ya Yanga

Fomu za kuwania nafasi za uongozi (Rais, Makamu wa Rais na Wajumbe watano wa Kamati ya Utendaji) zimeanza kutolewa leo Makao Makuu ya klabu na zoezi hilo litahitishwa Juni 09

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’