Msimu huu Yanga wamedhihirisha ubabe wao dhidi ya Simba katika kila eneo. Katika michezo minne ambayo timu hizo zimekutana, Yanga ameshinda michezo miwili na mechi nyingine mbili kwenda sare
Yanga amechukua Ngao ya Jamii iliyokuwa ikishikiliwa na Simba, anaelekea kutwaa ubingwa wa ligi kuu na walimuondoa Simba kwenye michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) na kutinga fainali
Azam Media wakaja ni hili shindano la Nani Zaidi, naona huku Wananchi hatujaonyesha umahiri wetu
Unachopaswa kufanya ni kupiga kura tu ambayo thamani yake ni Tsh 1,000/-
Ni kama tumewapa watani nafasi ya kuzungumza baada ya kuwaruhusu waongoze katika shindano hili
Sasa umefika wakati wa kupindua meza! Twendeni tukapige kura kwa wingi!
ADVERTISE HERE