Kurudisha fomu za uongozi Yanga mwisho leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jun 2022
Kurudisha fomu za uongozi Yanga mwisho leo

Mchakato wa Uchaguzi Mkuu Yanga unaendelea ambapo leo awamu ya pili ya mchakato huo inahitimishwa kwa kufungwa zoezi la kuchukua na kurudisha fomu

Fomu zilianza kutolewa Juni 05 na leo Juni 09 majira ya saa 10:30 jioni zoezi hilo litafungwa

Imekuwa ni vita ya kimya-kimya baina ya wagombea waliojitosa kuwania nafasi ya Rais wa Yanga, Makamu wa Rais na Wajumbe watano wa Bodi

Za chinichini ni kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano Yanga Injinia Hersi Said ni miongoni mwa waliochukua fomu kuchuana na Dk Mshindo Msolla ambaye atakuwa Mwenyekiti wa mwisho wa klabu ya Yanga kwani kulingana na mabadiliko ya Katiba, kiongozi wa juu Yanga sasa atakuwa Rais

Hadi kufikia Jumamosi, wagombea waliopita watafahamika. Baada ya zoezi la fomu kufungwa, mchujo wa wagombea kwa kuzingatia vigezo utafanyika siku ya kesho na Jumamosi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’