Bado Wananchi hatujaonyesha ukubwa wetu kwenye mpambano wa Nani Zaidi dhidi ya watani Simba, mpambano unaoendeshwa na Azam Media
Kasi sio nzuri kwenye upigaji wa kura, tusisahau huku watani ndiko wanafanya kichaka cha kujificha baada ya kuondoka patupu msimu huu
Sasa twendeni tukakifyeke hiki kichaka ili wakose sehemu ya kujificha...!

ADVERTISE HERE