Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Yanga inahitaji kushinda mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa mbili na nusu usiku ili kutwaa ubingwa




ADVERTISE HERE