Ni rasmi Wananchi wametwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC baada ya kuichapa Coastal Union mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Mabao mawili ya Fiston Mayele na moja la Chico Ushindi yametosha kuihakikishia Yanga ubingwa wa 28
Kwa hakika ulikuwa msimu mzuri ambao umekuwa na mwisho mzuri pia
Wananchiiiii Yanga Bingwaaaaaaa kwa mara ya 28...!


ADVERTISE HERE