Mayele macho kwenye kiatu cha dhahabu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jun 2022
Mayele macho kwenye kiatu cha dhahabu

Mabao mawili aliyofunga jana kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union, yamemfanya Fiston Mayele kukaa kileleni katika mbio za kuwania ufungaji bora msimu huu akifikisha mabao 16

Mayele amefikia idadi ya mabao ambayo mfungaji bora wa msimu uliopita John Bocco alifikisha katika michezo 34, yeye amefunga mabao hayo katika michezo 27

Katika mchezo dhidi ya Coastal, Mayele alihusika katika mabao yote matatu kwani licha ya kufunga mawili, alitoa assist kwa bao lililofungwa na Chico Ushindi

Baada ya kuisaidia Yanga kutwaa ubingwa, kilichobaki kwake ni kuibuka mfungaji bora

Ana michezo mitatu ya kuhakikisha anatimiza adhma yake ya kutwaa kiatu cha dhahabu

Mchezo unaofuata ni dhidi ya Polisi Tanzania, Juni 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa na baadae kuelekea mkoani Mbeya kuikabili Mbeya City Juni 25 kabla ya kurejea jijini Dar es salaam kukamilisha msimu kwa kuikabili Mtibwa Sugar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’