Huyu Chico sio mwepesi kiivyo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jun 2022
Huyu Chico sio mwepesi kiivyo

Jana Chico Ushindi alifunga bao lake la kwanza msimu huu katika mchezo dhidi ya Coastal Union ambao Yanga ilitwaa ubingwa baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0

Ilikuwa krosi murua kutoka upande wa kulia kutoka kwa Fiston Mayele, Chico akapiga 'diving header' na kuujaza mpira kimiani kuihesabia Yanga bao la pili

Ni majeraha tu ambayo yamewanyima raha Wananchi kumshuhudia mshambuliaji huyo aliyetua dirisha dogo akitokea TP Mazembe

Nakumbuka katika moja ya mahojiano yake wakati mashabiki wakihoji kwa nini haonekani, kocha mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi alisema yeye anamfahamu vizuri Chico, majeraha ndio changamoto pekee inayomfanya asionekane lakini akiwa fit kwa asilimia 100, ni mchezaji mzuri

Ushindi ana assist mbili na bao moja katika ligi kuu licha ya kuwa hana dakika nyingi sana uwanjani

Ni mchezaji anayeonyesha kuwa na kitu mguuni, chini ya Nabi ni wazi ataendelea kuimarika zaidi

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’