Yanga imetambulisha usajili wa mshambuliaji nyota raia wa Zambia, Lazarus Kambole
Kambole anatua Yanga akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba kunako klabu ya Kaizer Chiefs
Ni usajili wa kwanza kuelekea msimu wa 2022/23

ADVERTISE HERE