Kwa Kambole mbona watanyamaza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jun 2022
Kwa Kambole mbona watanyamaza

Jana Yanga ilitambulisha usajili wa mshambuliaji Lazalous Kambole aliyetua kwa Wananchi akitokea klabu ya Kaizer Chiefs

Kambole aliitumikia Chiefs kwa misimu mitatu akitokea klabu ya Zesco United aliyoitumikia tangu mwaka 2014

Yanga ilijaribu kumsajili Kambole msimu uliopita lakini ikawa ngumu kutokana na masharti ya mkataba wake

Ni pendekezo la kocha Nasreddine Nabi, hivyo Mtunisia huyu anafahamu ni kwa namna gani atamtumia Kambole

Ametua Yanga kwa kazi moja, kuhakikisha anaisaidia kutetea ubingwa wa ligi kuu na kufanya vizuri kwenye michuano ya ligi ya mabingwa

Kambole ana uzoefu na michuano ya ligi ya mabingwa kwani amewahi kuwa mfungaji bora na anashikilia rekodi ya kufunga hat-trik ndani ya dakika tano

Ameitumikia timu ya Taifa ya Zambia, katika michezo 16 amefunga mabao saba

Kambole ni mshambuliaji aliyekamilika ni bahati mbaya wakati yuko Kaizer Chiefs hakupewa muda wa kutosha kuonyesha uwezo wake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’