Kocha Msaidizi wa Yanga amewasifu wachezaji wake ambao jana wamefanikisha ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Lipuli FC.
Akizungumza baada ya mchezo huo jana, Nsajigwa amesema umoja wa wachezaji wa Yanga umeiwezesha timu hiyo kuibuka na ushindi dhidi ya Lipuli FC iliyokuwa katika kiwango kizuri.
“Siri ya mafanikio ni umoja wa timu, ukiangalia timu yetu ina majeruhi wengi lakini moyo walionao wachezaji wa kuitumikia timu yao ndio umeleta matokeo ya ushindi.â€
“Lipuli walicheza vizuri kipindi cha kwanza na kutengeneza nafasi ambazo hawakuzitumia sisi tukapata nafasi tukatumia.â€
Yanga ina wachezaji majeruhi zaidi ya 10 hata hivyo benchi la ufundi linastahili pongezi kwa kufanikiwa kutengeneza kikosi imara kisichotegemea mchezaji mmoja.
Kwani baadhi ya wachezaji wamekuwa wakikosekana tangu mwanzo wa msimu lakini Yanga imeendelea kupambana kufa na kupona kutetea ubingwa wake kwa msimu wa nne.

ADVERTISE HERE